SIMBA WAANIKA AJENDA ZA KIKAO CHAO DECEMBER 3>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Tuesday, November 28, 2017

SIMBA WAANIKA AJENDA ZA KIKAO CHAO DECEMBER 3>>

KUMEKUCHA SIMBA SC ,AJENDA ZA MKUTANO MKUU MAALUMU WA TAREHE 03/12/2017  ZIMEWEKWA  HADHARANI'

1.Kuhakiki idadi ya wanachama wanaohudhuria Mkutano

2.Kufungua Mkutano

3.Kuthibitisha Ajenda

4.Kuitambulisha kamati ya zabuni na kamati ya tathimini

5.Hotuba ya Raisi wa Simba SC

6.Hotuba ya M/kiti wa kamati ya zabuni

7.Kupokea Taarifa ya Kamati ya zabuni na kumtangaza mshindi wa zabuni

8.Salamu za Mzabuni aliyeshinda

9.Majumuhisho

10.Kufunga Mkutano

No comments:

Post a Comment