YANGA MAMBO YAIVA BAADA YA YONDANI KUFANYA HILI>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, January 4, 2018

YANGA MAMBO YAIVA BAADA YA YONDANI KUFANYA HILI>>

Yanga inaivaa JKU katika mechi yake ya pili ya Kombe la Mapinduzi na leo itaimairisha safu yake ya ulinzi kwa kumrejesha beki wake kisiki, Kelvin Yondani.

Yondani ameanza kushiriki mazoezi na wenzake kwa siku kadhaa na sasa yuko tayari kucheza mechi hiyo ya leo kwenye Uwanja wa Amaan.

Beki huyo kisiki alikuwa majeruhi hali iliyowalazimu makocha wa Yanga kupangua kikosi chao.

Bado yanga haijataka kuweka hadharani, lakini kikosi chake kilichoanza michuano hiyo kwa ushindi dhidi ya Mlandege sasa kipo tayari.

No comments:

Post a Comment