MIAKA 17 MAKOCHA 19 NDANI YA SIMBA SC MAFANIKIO KIDUCHU TOKA MWAKA 2000, HAWA HAPA NDIO KIDOGO WALIONYESHA UWEZO>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, December 27, 2017

MIAKA 17 MAKOCHA 19 NDANI YA SIMBA SC MAFANIKIO KIDUCHU TOKA MWAKA 2000, HAWA HAPA NDIO KIDOGO WALIONYESHA UWEZO>>

"Miaka 17; Makocha 19 ndani ya klabu ya Simba sc Tangu 2000-2017"

1.Mkenya, James Siang’a (2000-2004)

2.Trott Moloto-Sauz (2005)

3.Patrick Phiri- Zambia (2005)

4.Neidor dos Santos-Brazil (2006)

5.Nelson Elias-Brazil (2006 Siku kadhaa)

6.Talib Hilal & Julio (2007)

7.Milovan Curkovic-Serbia (Nov.2007-April 2008)

8.Patrick Phiri-Zambia (2009-2011)

9.Moses Basena-Uganda (June 2011-Novemba)

10.Milovan Curkovic-Serbia (Novemba 2011-Novemba 2012)

11.Patrick Liewig-Ufaransa (Desemba 2012-Mei 2013)

12.Abdallah ‘King’ Kibadeni (June 2013-Novemba)

13.Z.Logarusic-Croatia (Desemba 2013-June 2014)

14.Patrick Phiri (Agosti 2014-Novemba 2014)

15.Goran Kopunovic-Serbia (Disemba 2014 -June 2015)

16.Dylan Kerr-Malta (Julai 2015- 2016 Januari)

17.Jackson Mayanja (Januari 2016 –Mei)

18.Joseph Omog (July 2016-Nov 2017

19.Masoud Djuma(Oct-2017-

Tutazidi kukupa historia endelea kutembelea blog yetu ya Kasuluwadau. Blogspot. Com

No comments:

Post a Comment