SIMBA NA OMONG WAFIKIA MWAFAKA HUU , TAYARI OMONG HUYU HAPA>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Friday, December 29, 2017

SIMBA NA OMONG WAFIKIA MWAFAKA HUU , TAYARI OMONG HUYU HAPA>>

Hatimaye Kocha Joseph Omog amemalizana na uongozi wa Simba na kuondoka nchini kurejea kwao Cameroon.

Omog ameondoka leo na ndege ya Shirikisho la Soka la Kenya kupitia Nairobi kwenda jijini Younde.

Kocha huyo alionekana ni mwenye furaha na baadhi ya mashabiki walikuwa wakimuaga na kumueleza kwamba watamkumbuka.


Muda mwingi Omog ambaye aliipa ubingwa wa Kombe la Shirikisho kabla ya kuvuliwa na kumleta matatizo, alionekana akiwajibu mashabiki hao kwa kuwapungia mkono na tabasamu.

No comments:

Post a Comment