Pamoja na wachezaji kadhaa majeruhi ambao itawakosa katika mechi yao dhidi ya Mbao FC, Jumapili, Yanga itamkosa Ibrahim Ajibu.
Yanga haitamtumia Ajibu katika mechi dhidi ya Mbao FC baada ya kuwa na kadi tatu za njano.
Pamoja na Ajibu, Obrey Chirwa ambaye alianzisha mgomo akitaka kulipwa fedha zake za usajili zilizobaki, wengine itakaowakosa ni Thaban Kamusoko na Donald Ngoma.
No comments:
Post a Comment