JUUKO MURSHID AKWAMIA JANGWANI >>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Saturday, December 2, 2017

JUUKO MURSHID AKWAMIA JANGWANI >>>




Beki wa kati wa Simba, Mganda, Juuko Murshid huenda akajiunga na klub ya wana jangwani Yanga.
Juuko alikuwa katika mchakato wa kujiunga na Klabu ya Orlando Pirates ya Afrika Kusini, lakini imeonekana dili hilo limekwama kutokana na kile kilichoelezwa kwamba ni kutoafikia pande mbili za klabu hizo.

Sasa kuna tetesi za kujiunga na wana jangwani Yanga

Karibu

No comments:

Post a Comment