Kocha Mpya wa klabu ya Yanga, Mwinyi Zahera amepewa ofa ya kusaini mkataba wa miaka miwili kuifundisha klabu ya Yanga na mshahara wa milioni 12 kwa mwezi.
Kocha huyo muda wowote leo atasaini mkataba huo na kumrithi Kocha George Lwandamina aliyeondoka Yanga na kujiunga na klabu ya Zesco ya kwao Zambia.
Kocha huyo kama atasaini mkataba huo atakuwa analipwa tsh 400,000/- kwa siku na tsh 16,666.66667 kwa Saa na Tsh 277.77 kwa dakika moja ikiwa mshahara wake ni mara 3 ya mshahara aliokuwa analipwa George Lwandamina.
Kocha wa Yanga aliyeondoka George Lwandamina alikuwa analipwa tsh milioni 36 kwa mwezi ndio kocha aliyekuwa analipwa mshahara mkubwa kwa makocha wanaofundisha timu za ligi kuu na kufuatiwa na kocha wa Simba anayelipwa milioni 30 kwa mwezi.

No comments:
Post a Comment