Klub ya simba ilitinga fainal baada ya kuitupa nje timu ya kk homeboys iliyo ionea Yanga .
Simba sasa watawaongeza kikosini wachezaji wao machachali John Bocco maarufu kama Adebayo na Emmanuel Okwi ili kuwatupa nje na kuchukua kombe mahasimu wao Golmahia ya kenya.
Aidha simba endapo watafanikiwa kuwashinda Golmahia watapata fulsa ya kwenda wingeleza kukipiga na Everton .

No comments:
Post a Comment