-Klabu ya Yanga Sc, imejitoa kushiriki michuano
ya Kagame Cup itakayoanza June 28 hadi July 13.
Kikao cha kamati ya Mashindano kilichoketi juzi
june 06 kimeazimia kwa pamoja kutoshiriki
mashindano hayo na jana wamewasilisha barua
kwa TFF kuwajulisha hilo.
-Sababu kubwa inayotajwa na Yanga kutoshiriki
michuano hiyo ni ratiba ya michuano ya kombe la
shirikisho Afrika (Caf Confederation Cup) kwani
watacheza mchezo wao wa tatu na Gor Mahia
jijini Kenya July 17 pia baadhi ya Viongozi wa
klabu hiyo wamekelwa na TFF kuwapanga kundi
moja na Simba kwa sababu ya kutafuta mapato.
-Akiongea mjumbe wa kamati hiyo kwa sharti la
kutotajwa jina lake amesema wamejitoa kushiriki
kagame Cup ili kuwapa nafasi wachezaji wao
kupumzika kwa ajili ya michezo ya kombe la
shirikisho. Pia viongozi wa Yanga wamekelwa na
tabia ya TFF ya kuwafanya kama kitenga uchumi
kwa kuwapanga na Simba kundi moja wakati
wakijua wao wana hali mbaya ya uchumi.
-Wachezaji wa Yanga na bechi la Ufundi tayari
wamepewa likizo mpaka June 25 wakati Kagame
Cup inatarajia kuanza June 28 Yanga ilipangwa
kundi C na watani zao wa jadi klabu ya Simba Sc,
St George ya Ethiopia na Dakadaha ya Somalia

No comments:
Post a Comment