KWA USAJILI HUU WA SIMBA NA YANGA KOMBE NJE NJE , MAKOCHA WASEMA KUPIGA HAT TRICK NDANI YA DAKIKA KUMI , SOMA HAPA - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, December 17, 2017

KWA USAJILI HUU WA SIMBA NA YANGA KOMBE NJE NJE , MAKOCHA WASEMA KUPIGA HAT TRICK NDANI YA DAKIKA KUMI , SOMA HAPA

#Tetesi za Usajili

Wakati dirisha dogo la usajili likifungwa  jana, kumekuwa na tetesi na taarifa nyingi kuhusu wachezaji walisajiliwa na kuachwa vilabuni, hapa nakuwekea orodha ya walioachwa na kusajiliwa kipindi hiki.

Simba SC

Wliosajiliwa
- Beki Mghana Asante Kwasi,
- Kiungo mshambuliaji raia wa Zambia, Jonas Sakuwaha
- Mshambuliaji Antonio Dayo Domingues kutoka Msumbiji.

Waliotemwa

- Mzimbabwe, Method Mwanjali na
- Mghana Nicholas Gyan
- Mrundi Laudit Mavugo.

Kwa upande wa Yanga wao wamesajili wachezaji wawili tu wapya,

- Beki Fiston 'Festo' Kayembe Kanku kutoka Balende FC ya kwao, DRC
- Mshambuliaji kinda, Yohanna Nkomola ambaye ni mchezaji huru, aliyekuwamo kwenye kikosi cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys.

Azam FC wao wamesajili mmoja tu mpya,
- Mshambuliaji Bernard Arthur kutoa Liberty Professional ya Ghana, baada ya kumuacha Mghana mwenzake, Yahya Mohammed

Singida United.

Waliosajiliwa
-Lubinda Mundia kwa mkopo kutoka Res Arrows ya Zambia,
- Daniel Lyanga kutoka Fanja ya Oman,
- Kambale Salita 'Papy Kambale' kutoka Etincelles ya Rwanda,
- Issa Makamba,
- Assad Juma,
- Ally Ng’azi na
- Mohamed Abdallah wote huru waliokuwa Sereneti Boys

Walioachwa
- Atupele Green na Pastory Athanas wakivunjiwa mikataba wakati
- Mohamed Titi na  Frank Zakaria wakitolewa kwa mkopo Stand United.

 Mbeya City

Waliosajiliwa
- George Mpole kutoka Maji Maji
-  Abubakar Shaaban akisajiliwa kama mchezaji huru.

Walioachwa.
-Emmanuel Kakuti.
- Mkongwe Mrisho Ngassa anayetimkia Ndanda FC.

No comments:

Post a Comment