SIMBA YAWAACHA WACHEZAJI MUHIM , YANGA WAO WASAWAZISHA DAKIKA ZA MWISHO>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, December 17, 2017

SIMBA YAWAACHA WACHEZAJI MUHIM , YANGA WAO WASAWAZISHA DAKIKA ZA MWISHO>>

Wakati dirisha dogo la usajili likifungwa  juzi, kumekuwa na tetesi na taarifa nyingi kuhusu wachezaji walisajiliwa na kuachwa vilabuni, hapa nakuwekea orodha ya walioachwa na kusajiliwa kipindi hiki.

Simba SC

Wliosajiliwa
- Beki Mghana Asante Kwasi,
- Kiungo mshambuliaji raia wa Zambia, Jonas Sakuwaha
- Mshambuliaji Antonio Dayo Domingues kutoka Msumbiji.

Waliotemwa

- Mzimbabwe, Method Mwanjali na
- Mghana Nicholas Gyan
- Mrundi Laudit Mavugo.

Kwa upande wa Yanga wao wamesajili wachezaji wawili tu wapya,

- Beki Fiston 'Festo' Kayembe Kanku kutoka Balende FC ya kwao, DRC
- Mshambuliaji kinda, Yohanna Nkomola ambaye ni mchezaji huru, aliyekuwamo kwenye kikosi cha timu ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys.

No comments:

Post a Comment