KIKOSI CHA ZANZIBAR HEROES KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KENYA FAINAL ZA CECAFA>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, December 17, 2017

KIKOSI CHA ZANZIBAR HEROES KITAKACHOANZA LEO DHIDI YA KENYA FAINAL ZA CECAFA>>


KIKOSI CHA ZANZIBAR HEROES DHIDI YA KENYA

Kocha wa Mkuu wa timu ya Taifa ya Zanzibar (Zanzibar Heroes) Hemed Suleiman “Morocco” ametangaza kikosi chake kitakachocheza leo kwenye Mashindano ya CECAFA SENIOR CHALLENGE CUP kati ya Zanzibar na Kenya katika uwanja wa Kenyatta uliopo Machakos nchini Kenya, pambano litakalopigwa majira ya saa 10:00 za jioni.
ZANZIBAR HEROES
1.  Mohd Abrahman (Wawesha) 18
2.  Ibrahim Mohd (Sangula) 15
3.  Haji Mwinyi Ngwali 16
4.  Abdulla Kheri (Sebo) 13
5.  Issa Haidar Dau (Mwalala) 8
6.  Abdul azizi Makame (Abui) 21
7.  Mohd Issa (Banka) 10
8.  Mudathir Yahya 4
9.  Ibrahim Hamad Hilika17
10.                   Feisal Salum (Fei Toto) 3
11.                   Suleiman Kassim “Seleembe” 7 (Captain)

AKIBA
1.  Ahmed Ali (Salula) 1
2.  Ibrahim Abdallah 2
3.  Adeyum Saleh 20
4.  Abdullah Haji (Ninja) 5
5.  Seif Rashid (Karihe) 12
6.  Kassim Suleiman 19
7.  Khamis Mussa (Rais) 28
8.  Amour Suleiman (Pwina) 14
9.  Hamad Mshamata 9
10. Abdul swamad Kassim (Hasgut)

No comments:

Post a Comment