YANGA YAPEWA TIMU ILIYOKO NAFASI YA NANE MSIMAMO WA LIGI HUKO ETHIOPIA>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, March 22, 2018

YANGA YAPEWA TIMU ILIYOKO NAFASI YA NANE MSIMAMO WA LIGI HUKO ETHIOPIA>>

Wawakilishi wa Tanzania katika michuano ya Kombe la Shirikisho, Yanga wamepangwa na timu ya Ethiopia.


Katika droo iliyofanyika leo jijini Cairo, Misri, Yanga imepangwa kucheza na Wolaitta Dicha ya nchini Ethiopia ambayo inashika nafasi ya nane katika msimamo wa ligi ya kwao.


Mechi ya kwanza itakuwa kati ya Aprili 6, 7 au 8 na mechi ya pili au second leg ni kati ya Aprili 17-18 Mwaka huu.

Yanga wameingia hatua hiyo baada ya kutolewa kwa jumla ya mabao 2-1 na timu ya Township Rollers kutoka   Botswana.

Awali Yanga walipita katika hatua ya awali kwa kuwatoa  St Louis ya Shelisheli.




TIMU NYINGINE KATIKA DROO HIYO...

Zanaco (Zambia) vs Raja Club Athletic (Morocco)

AS Vita (DR Congo) vs CS la Mancha (Congo)

Saint George (Ethiopia) vs CARA (Congo)

El Hilal (Sudan) vs Akwa United (Nigeria)

Gor Mahia (Kenya) vs Supersport (South Africa)

UD Songo (Mozambique) vs Hilal Obied (Sudan)

Plateau United (Nigeria) vs USM Alger (Algeria)

Bidvest (South Africa) vs Enyimba (Nigeria)

Aduana (Ghana) vs Fosa Juniors (Madagascar)

Young Africans (Tanzania) vs Wolaita Dicha (Ethiopia)

Generation Foot (Senegal) vs RS Berkane (Morocco)

Mounana (Gabon) vs El Masry (Egypt)

ASEC Mimosas (Cote d’Ivoire) vs CR Belouizdad (Algeria)

Williamsville (Cote d’Ivoire) vs Niefang (Equatorial Guinea)

MFM (Nigeria) vs Djoliba (Mali)

Rayon Sport (Rwanda) vs Costa do Sol (Mozambique)

No comments:

Post a Comment