YANGA VS ENYIMBA SHILIKISHO , SIMBA VS NJOMBE MJI VPL FULL KUBISHANA>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Tuesday, March 20, 2018

YANGA VS ENYIMBA SHILIKISHO , SIMBA VS NJOMBE MJI VPL FULL KUBISHANA>>

Kufuatia kuangukia katika mashindano ya Kombe la Shirikisho Jumamosi ya jana, Yanga inaweza ikapangiwa kucheza na vigogo kadhaa barani Afrika.

Bado haijapangwa kuwa Yanga itacheza na nani, ingawa timu zilizopo kwenye mashindano hayo mojawapo ni Enyimba FC kutoka Nigeria.

Si Enyimba pekee, baadhi ya timu zingine zinazoshiriki Kombe la Shirikisho ni Zamalek, Raja Cassablanca, SuperSport United ya Afrika Kusini na Al Masry ya Misri.

Vigogo Enyimba leo watakuwa na kibarua kucheza dhidi ya Energie FC. Katika mechi ya kwanza Enyimba alishinda jumla ya mabao 2-0.

No comments:

Post a Comment