SIMBA KUTOLEWA SHILIKISHO WALIJITAKIA , DJUMA ALIKUWA KOCHA MWENYE MIPANGO HII>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Tuesday, March 20, 2018

SIMBA KUTOLEWA SHILIKISHO WALIJITAKIA , DJUMA ALIKUWA KOCHA MWENYE MIPANGO HII>>

Klub ya simba iliyoanzishwa miaka ya 1936 imejikuta ikitolewa mapema kabisa katika hatakati za kuwania ubingwa wa shilikisho,

Simba walijikuta wakitolewa kwa sheria za caf baada ya to a sare ya bila kufungana na ikumbukwe awali simba mechi ya nyumbani walitoka sare ya 2 - 2

Kwa maana hiyo Masud Djuma endapo agepewa nafasi ya kukiongoza kikosi cha hicho angekifikisha mbali kwa kiwa alikuwa na falsafa Nzuri mno.

No comments:

Post a Comment