USIFE MOYO HAYA YAPO , MBELE YETU NYUMA YAKE>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, December 13, 2017

USIFE MOYO HAYA YAPO , MBELE YETU NYUMA YAKE>>

Kiungo hatari wa klub ya simba Mo Ibrahim ambae sasa anaenda msimu wa tatu akiwa na klub hiyo kongwe kabisa katika ardhi ya Tanzania Amefiwa na mwanae.

Hakika ni huruma kubwa Kwa kuwa alikuwa ni mtoto ambae alitakiwa aishi miaka mingi kadri ya mapenzi ya Muumba mbingu na nchi.

Ila tumtie moyo mwenzetu kwa kuwa haya yapo na hayaepukiki.

Mungu ailaze roho ya mwanetu mpendwa Akina.

No comments:

Post a Comment