BAADA YA YANGA KUSHINDWA , SIMBA KUVUNJA KAMBI YA TP MAZEMBE KUMNASA HUYU>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, December 13, 2017

BAADA YA YANGA KUSHINDWA , SIMBA KUVUNJA KAMBI YA TP MAZEMBE KUMNASA HUYU>>

Mshambuliaji wa klub ya tp mazembe Roger Assale ambae mpaka sasa anaongoza kwa kutupia kambani akiwa amefunga jumla magoli 18 ndani ya mechi 9 ndie mcheza ambae ni hatari nchini Kongo.

Yanga walijalibu kunusa pia zao ndani ya klub hiyo tata kabisa ndani ya Africa wakashindwa sasamahasimu wao

Simba wameingia na day nene la kumnasa mshambuliaji huyo ambae kwa sasa ndie mchezaji anaengoza kwa ubora Africa na Dewj yupo tayari kuvunja mkoba wa pesa kwa ajili ya kumfikisha MSIMBAZI.

Tusubili na nitakupatieni taarifa kadri tutakapozipata.

No comments:

Post a Comment