CHELSEA YAPIGA 3 IKIILAZA HUNDERFIELDS , CONTE ASEMA UBINGWA BADO NAKUSISITIZA HILI>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Wednesday, December 13, 2017

CHELSEA YAPIGA 3 IKIILAZA HUNDERFIELDS , CONTE ASEMA UBINGWA BADO NAKUSISITIZA HILI>>

Usiku wa jana ligi ya wingereza iliendelea na tukishuhudia matokeo mbali mbali ambayo yalitokea hapo jana katika michezo iliyopigwa usiku.

Chelsea ambayo ilikuwa ikikipiga na Hunderfield iliweza kuidhabu jumla ya magolo 3-1 shukran za dhati ziende kwa Wiliani, Bakayoko na Kante,

Aidha tulipopata nafasi ya kuongea na kocha machachali wa timu hiyo Antonio Conte alisema kuwa

NIVIGUMU KUTETEA UBINGWA KWA KUWA SIONI MWENYE UBAVU WA KUWASIMAMISHA .

Hayo ndio maneno ya conte. Hapo ndoto zimekwisha

Asante

No comments:

Post a Comment