SIMBA SC WAANZA KUPIGA HESABU KIMATAIFA , HIZI NDIZO MBINA ZAO>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Thursday, December 14, 2017

SIMBA SC WAANZA KUPIGA HESABU KIMATAIFA , HIZI NDIZO MBINA ZAO>>

Shirikisho La Soka Barani Africa Leo Limetoa Ratiba Ya Michuano Hiyo,Ambapo Mnyama Mkali Simba Ataanza Kucheza Na Timu Ya Fendarmarie Kutoka Nchini Djbout...
Mchezo Wa Kwanza Utapigwa Hapa Dar Es Salaam
Hii Ni Timu Ya Jeshi Huko Djibout,
Akili Za Wachezaji Na Kocha Inabidi Ianze Ku Focus Na Mechi Za Kimataifa Na Uongozi Kufanya Usajili Utakaoleta Tija Katika Ligi Na Michuano Hiyo Ya kimataifa.

Simba wajitume.

No comments:

Post a Comment