Zijue sababu zinazowafanya wanaume kutoka nje ya ndoa>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, December 11, 2017

Zijue sababu zinazowafanya wanaume kutoka nje ya ndoa>>

INASEMAKANA ETI:-

WANAWAKE MNISAMEHE ILA NDO HIVYO

Inasemekana wanawake wengi wenye ndoa wanakuwa na tabia zifuatazo zinazosababisha waume zao kwenda nje ya ndoa au kutafuta nyumba   ndogo:-

1. Mwanamke asiye sema au kumtamkia  mumewe kuwa anajisikia hamu ya kuwa naye usiku wa leo.

2. Mwanamke ambaye kabla na  baada ya burudani  huwa amenuna  haonyeshi dalili yoyote kama ameridhika na tendo au hakuridhika

3.Mwanamke ambaye akiwahi kwenda  kulala yeye,, mume wake  akienda kulala hataki kuguswa hata kidogo

4. Mwanamke ambaye mumewe akimgusa anakubali huku analalamika ..sitaki usumbufu nimepumzika  kunisumbua sitaki .. hiyo ni tabia yake kila siku...

5. Mwanamke kujali sana vikao vya vikoba kuliko mmewe...

6. Mwanamke Kumwambia mumewe  kwamba ananuka wakiwa kitandani

7. Mwanamke  hatingishiki kwenye mechi anakuwa Kama gogo Mwanaume  akijitingisha kidogo  amenuna...huu sio mwili wa mazoezi  uku anangalia kushoto au kulia anangoja Mwanaume amalize  ...anakuwa  kama golikipa aliyekata tamaa ya kudaka penati......

8. Mwanamke haweki kabisa maandalizi ya kufanya amsha amsha

9.  Wakati mwingine Mwanaume  akitaka show anapigwa kibesi na Mwanaume akikomaa mwanamke anaondoka chumbani hata kama ni usiku anaenda kulala sebuleni

10. Wanawake wengine  wana tabia ya kuwapokea simu smartphone waume zao wanapotoka kazini badala ya kupokea mzigo aliobeba mmewe   , akiingia ndani badala ya kumuandalia mme maji ya kuoga na chakula  yeye ni kupekuwa msg zilizotumwa whatsapp, facebook  matokeo yake ni ugomvi .....

Hiyo hali husababisha mwanaume atoke nje ya ndoa au kuamua kuoa mke mwingine au na mara nyingine huamua kususa kabisa  unyumba  wako

ushauri :-
Wanawake wenye tabia kama hizo jirekebisheni ktk ndoa zenu lasivyo mtasababisha kuleta mitala ktk ndoa zenu .

Ziko nyingine nyingi ambazo ni kero zinazowafanya wanaume kusononeka mioyoni mwao....unaweza kuongeza......

No comments:

Post a Comment