Chama cha soka nchini england kimemtia hatiani Antony Martial kwa kile kinachodaiwa kua ana kifaa maalum ktk mguu wake kulia kinachojulikana kama bering...kwani kifaa hicho ni mahususi kwenye mashine na magari kwa lengo la kurahisisha mzunguko....Kashfa hiyo iliibuka pindi pale antony Martial alipoonekana akiuzungusha mguu wake kama propela shafti katika kuassist goli la Jesse Lingard dhidi ya Arsenal.......Martial Atafanyiwa utafiti wa kina leo hii kwenye hospitali ya Bridgewater jijini Manchester.....imetanabaishwa kwamba ikikutwa na kifaa hicho adhabu kali itatolewa ikiwepo
1.Matokeo kubadilishwa vice versa Arsenal 3 Man u 1
2.Saves zote za David De Gea atapewa Peter Czech
3.Laura Koncielyn atapewa fursa ya kumrudishia Paul Pogba Kile achomfanya hadharani
4.Paul labile atapigwa marufuku kutopiga masigino kama Yale aliyoipiga tena
5. Na mwishoe Jesse Lingard atatolewa kwenda Arsenal bureeeee kama fidia

No comments:
Post a Comment