Baada ya sare ya bila kufungana dhidi ya "wabaguzi" Libya, kikosi cha Taifa Stars kimeendelea kujifua kujiandaa na mechi ijayo ya michuano ya Chalenji inayoendelea nchini Kenya.
Stars itaivaa Zanzibar katika mechi itakayochezwa Alhamisi ikiwa ni mechi ya pili ya michuano hiyo.
No comments:
Post a Comment