YANGA YASHWINDWA KUTAMBA UGENINI NA KUAMBULIA SALE KWA MBINDE,AJIBU AHAHA UWANJA MZIMA ,TSHISHIMBI APOTEA, KOCHA AZUNGUMZA>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Saturday, November 4, 2017

YANGA YASHWINDWA KUTAMBA UGENINI NA KUAMBULIA SALE KWA MBINDE,AJIBU AHAHA UWANJA MZIMA ,TSHISHIMBI APOTEA, KOCHA AZUNGUMZA>>>>

Yanga yaambulia sale tasa dhindi ya Singida United hii imetokana na kutokuzoea Kwa haraka uwanja wa singida united.

Hata ivo kukosa Kwa NGOMA na HAMISI TAMBWE huenda ndio sababu ya mwendelezo wa kutoa sale kila kukicha lakini pia kocha wa Yanga amesema kuwa wachezaji wake wote ambao ni majeruhi.

Yanga.

No comments:

Post a Comment