Yanga ya sale imekuwa na faida sana Kwa kuwa wameendelea kubaki kileleni, kocha wa Yanga Lwandamina anatakiwa kufanya kazi ya ziada kuhakikisha mechi ijayo anashinda Kwa idadi ya goal nyingi.
Aisha wenzao Simba wasiwasi mtupu huko waliko umetanda katika hotel walofikia,Hofu hiyo inakuja baada ya yanga kutoa sale kwani hawakutegemea kitu kama hiki.
Hongera sana Yanga.
Aisha wenzao Simba wasiwasi mtupu huko waliko umetanda katika hotel walofikia,Hofu hiyo inakuja baada ya yanga kutoa sale kwani hawakutegemea kitu kama hiki.
Hongera sana Yanga.
No comments:
Post a Comment