SIMBA WAINUSA DAMU YA MBEYA CITY, WAAPA KUFIA UWANJANI KUHAKIKISHA WANAONDOKA NA POINT TATU , FUATILIA HII >>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Saturday, November 4, 2017

SIMBA WAINUSA DAMU YA MBEYA CITY, WAAPA KUFIA UWANJANI KUHAKIKISHA WANAONDOKA NA POINT TATU , FUATILIA HII >>>>

Wachezaji wa simba waliosafiri kuelekea mbeya kwa ajili ya mechi ya dhidi ya mbeya city wote wako na afya njema kabisa kwa ajiri ya kuikabili mbeya city.

Simba ambao wanafanya vizuri katika ligi ya vodacom huenda John Raphael Bocco asianze katika mchezo huo.

Hata ivo simba wanatakiwa kucheza kwa tahadhari kubwa Kwa kuwa hata mbeya city nao wanatafuta point muhim.

Simba nguvu moja.

No comments:

Post a Comment