Yanga kuweka historia huku Simba akibaki na hesabu za kufungwa magol kila mechi, Mashabiki wa pande zote mbili walinena>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, November 5, 2017

Yanga kuweka historia huku Simba akibaki na hesabu za kufungwa magol kila mechi, Mashabiki wa pande zote mbili walinena>>>>

Club ya soka Tanzania Yanga Africa na Simba sports Club ndio timu zenye mashabiki wengi pia timu hizi zimejizolea umaarufu Africa mashariki na kati kwa kusakata kandanda safi.

Timu hizi zimekuwa zikipata nafasi ya kutuwakilisha kimataifa japo zimekuwa hazifiki mbali kitu ambacho kimekuwa kikiwaumiza mashabiki wao.

Ikumbukwe kuwa toka club hizi zimeanzishwa hakuna hata club moja yenye uwaja wake kwa kile mashabiki wanachodai kuwa zinaendeshwa na wanachama ambao hawana fedha.

Hizi ndio timu za Simba ma Yanga.

No comments:

Post a Comment