Beki tegemeo wa SINGIDA UNITED huenda akawa nje Kwa muda wa wiki nne au zaidi hii ni baada ya kuumia katika mechi dhiidi ya Yanga Africa baada ya kugongana na mshambuliaji wa Yanga Emmanuel Martin.
Hata ivo benchi la ufundi bado linajifikilia ni nani ataziba pengo lake na ukizingatia namba hiyo ina gombewa na wachezaji ambao si chini ya watatu.
SINGIDA UNITED.
Hata ivo benchi la ufundi bado linajifikilia ni nani ataziba pengo lake na ukizingatia namba hiyo ina gombewa na wachezaji ambao si chini ya watatu.
SINGIDA UNITED.
No comments:
Post a Comment