Baada ya kagera suger kushinda mechi iliyopita sasa leo hii imewakaribisha prison katika uwanja Wa kaitaba ulioko mjini Bukoba,
Timu zote mbili zimejipanga kufanya vizuri licha ya kagera kujipanga kimashambulizi zaidi ili ijinasue na vugu vugu la kushuka daraja .
Mashabiki wamejitokeza kuisapoti timu yao ili ifanye vizuri na kuhakikisha point tatu muhimu zainabaki Bukoba.

No comments:
Post a Comment