YANGA YAMALIZANA NA MAVUGO, SIMBA YAMVUTA CHIRWA SASA JEURI TU MTAANI>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 13, 2017

YANGA YAMALIZANA NA MAVUGO, SIMBA YAMVUTA CHIRWA SASA JEURI TU MTAANI>>>>

Klub ya Yanga tayari imeshafikisha dau lao kwa mshambuliaji wa simba Mavugo na huenda dilisha Dogo mazungumzo yakawa tayari, Mavugo hajafunga goli lolote toka msimu uanze.

Simba waangukia kwa mshambuliaji matata wa club ya Yanga na RAIA wa Zambia Obey Chirwa kumnasa kwa gharama yoyote.

Tusubili tuone nini kitaendelea.

2 comments:

  1. Mnazingumzia msimu gani ambao Mavugo hajafunga bao? Mavugo ana mabao mawili yaliyokubaliwa na moja halali lilikataliwa mechi ya stendi united.

    ReplyDelete