SIMBA WAMSAKA HUYU MBADALA WA MANULA , MASHABIKI WAKE WATOA USHILIKIANO KUHAKIKISHA ANATUA MSIMBAZI>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 13, 2017

SIMBA WAMSAKA HUYU MBADALA WA MANULA , MASHABIKI WAKE WATOA USHILIKIANO KUHAKIKISHA ANATUA MSIMBAZI>>>>

Klabu ya Simba kupitia #SimbaApp inamtafuta  mtoto  huyu  ambaye ameonesha mapenzi makubwa kwa  mchezaji  wa  kikosi cha Simba golikipa Aishi  Manula.

Klabu ya Simba imekuwa na utaratibu wa  kuwafikia  watu  wenye kwenda mbali zaidi katika kuonesha mapenzi na ushabiki wao  kwa wachezaji na kikosi kizima cha Simba Kama ambavyo  Msimu  uliomalizika klabu ya Simba ilimtafuta kijana Aziz anaishi  mkoani Dodoma baada ya kuonesha mapenzi yake kwa mmoja ya wachezaji waliokitumikia kikosi chetu msimu uliomalizika.

Kama unamfahau  mtoto  huyu  Tafadhali Wasiliana nasi  kupitia namba 0766842457.

Sambaza huu ujumbe kwenye magroup mengi zaidi kuweza kufanikisha kumpata  mtoto huyu Shabiki Kindakindaki kwa klabu ya Simba na golikipa Aishi Manula.

No comments:

Post a Comment