Kikosi Cha Simba Kurejea Mbeya Leo Wakitokea Sumbawanga Ambako Waliweka Kambi Ya Muda Mfupi Na Kucheza Mechi Mbili Za Kirafiki,Wanarejea Mbeya Kwa Maandalizi Ya Mchezo Unaofuata Na Prisons Katika Dimba Sokoine,Prisons Watakuwa Nyumbani Huku Simba Ikiwa Ugenini.
Ni Matumaini Yetu Kuwa Tutapata Point 3 Na Magoli Kadhaa Japokuwa Mechi Itakuwa Ngumu.
#SimbaNguvuMoja
Ni Matumaini Yetu Kuwa Tutapata Point 3 Na Magoli Kadhaa Japokuwa Mechi Itakuwa Ngumu.
#SimbaNguvuMoja
No comments:
Post a Comment