MSUVA KUPAA MAJUU ZAIDI, RADA ZA MATAJIRI WA MALAGA ZAMNASA, SASA MAWAKALA KUKESHA MJINI MOROCCO >>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 13, 2017

MSUVA KUPAA MAJUU ZAIDI, RADA ZA MATAJIRI WA MALAGA ZAMNASA, SASA MAWAKALA KUKESHA MJINI MOROCCO >>>>

MANENO YA RAIS WA MALAGA JUU YA KUMNUNUA MSUVA DIRISHA DOGO

Habari za kunyapia nyapia kutoka kwa mkurugenzi wa ufundi wa el jadid klabu inayoshiriki ligi kuu morocco zinasema rais wa malaga anaanda mpango wa kuwanasa wachezaji wawili ndani ya klabu hiyo ., katibu mkuu wa eljadid amesema uhusiano wao wa kibiashara na malaga unaweza kuendelea tena hapo mwakani kwani amekuwa akipokea simu mara kwa mara kutoka kwa viongozi wa malaga ambao wanafatilia mienendo ya wachezaji hao wawili ambao amegoma kuwataja lakini inasemekana ni msuva na beki wa kushoto

kwa taarifa zaidi kuhusu msuva kutua la liga like page yetu utapata habari kemkem

No comments:

Post a Comment