Mohammed Ibrahim ni mchezaji hatari ambae anacheza nafasi ya kiungo ndani ya Club ya Simba, Mohammed Ibrahim (Mo Ibrahim) ni mchezaji ambae ni kipenzi cha mashabiki wa Simba.
Mo Ibrahim alijiunga na Klub ya Simba mnamo tarehe 19 June 2016 kwa mkataba wa miaka miwili kutokea Mtibwa suger ambako alimaliza msimu akiwa katika kiwango kikubwa.
Mo Ibrahim bado ana mkataba na Simba kitu ambacho kitaendelea kumbana kukaa ndani ya club ya Simba licha ya kuhusishwa na kujiunga na klub za Yanga na Azam zote za ligi kuu ya Vodacom.
Mo Ibrahim ni kati ya wachezaji vijana wa Kitanzania wanaochipukia na hakuna ubishi ana nafasi ya kung’ara na kufanya vizuri kama ataendelea kujituma kwa lengo la kufanya vizuri.
Mo Ibrahim pia amestukia janja la Yanga na kusema
"Benchi ninalokalia simba halitofautiani na benchi lingine lolote nitakalokumbana nalo mbele ya safari"
Tutaendelea kukupatia habari kadri tutakavozipata.

No comments:
Post a Comment