SIMBA WATOA MAJINA YA WACHEZAJI WATAKAOTEMWA, WAANZA KUTAFUTA TIMU UPANDE HUU>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 13, 2017

SIMBA WATOA MAJINA YA WACHEZAJI WATAKAOTEMWA, WAANZA KUTAFUTA TIMU UPANDE HUU>>>>

Habari Wanamsimbazi Wenzangu,Hope That Muko Poa Kabisa,
Aisee Hawa Watani Zetu Wana Vichwa Vigumu Sana Aisee,Na Kama Kuna Baadhi Walijaribu Hata Kwenda Shule Basi Elimu Yao Itakuwa Haina Manufaa Yeyote Kwao.....
Unakuta Mtu Ana Comment Utumbo Tena Ktk Ukurasa Wa Simba Kisa Nimemsifia Kichuya Jana,Yes Nina Haki Ya Kumsifia Kichuya Kwa Sababu Ni Mchezaji Wetu Na Nimesifia Ktk Ukurasa Wetu.....
Sasa Naona Wao Wanatokwa Na Mineno Michafu Kana Kwamba Midomo Yao Ni Makaro Ya Maji Machafu....
Any Way Twende Ktk Point Yetu,Jana Niliandika Habari Kuhusu Kuachwa Kwa Baadhi Ya Wachezaji Wa Simba Ambao Wanakula Mshahara Bila Kuutolea Jasho,Nashukuru Kuwa Habari Ile Imefika Ktk Uongozi Wa Juu Na Hatimae Leo Hans Poppe Amemwambia Shomari Kapombe Achague Moja,Kucheza Au Kuondoka Msimu Huu Wa Dirisha Dogo.....
Na Sio Kapombe Tu Na Wengine Wengi.
Nasikitika Sana Kocha Jose Marious Omog Ameshindwa Kuwatumia Wechezaji Wenye Vipaji Na Kukosa Kuwa Na First Eleven Mpaka Leo,Wachezaji Kama Said Ndemla,Nicolaus Gyan,Mohammed Ibrahim,Laudit Mavugo,Mzamiru Yasin,Jamal Mwambeleko Hawa Mpaka Sasa Hawajatumika Ipasavyo,Tusipiangalia Msimu Huu Wa Dirisha Dogo La Usajili Tunaweza Kupoteza Dhahabu Tukaendelea Kubaki Na Shaba.
Bado Ombi Langu Liko Kwa Uongozi Kuwa Wasikurupuke Kufanya Usajili Kama Awali,Bado Ndani Ya Kikosi Kuna Hazina Kubwa Sana Ya Wachezaji,Na Wale Ambao Wanaona Wanatakiwa Kuachwa Bora Waangalie Njia Ya Kuwatoa Hata Kwa Mkopo Kwa Baadhi Ya Timu Ambazo Zina Uhaba Wa Wachezaji Wazuri....
Bwana Hajji Manara Bado Yuko Likizo Fupi Nchini Oman,Huku Akiendelea Kutafakari Nini Aje Atuambie Wapenzi Wa Simba....
Ombi Langu Kwake Ni Kwamba Hizi Sio Zile Zama Za Kupiga Dili Mpaka Wasiojielewa Wakajua Hapa Tunapigwa.....
Omog Kwa 100% Kikosi Kimemshinda,Ni Wakati Wake Sasa Kushirikiana Na Kocha Msaidizi Irambona Masoud Djuma Kuweza Kupanga Mikakati  Ya Ubingwa,Omog Hawezi Kufanya Kila Kitu Peke Yake,Ndio Maana Kuna Na Kocha Msaidizi.
Hajji Tunakuomba Uttakaporudi Uache Tabia Ya Kumtetea Huyu Kocha,Kiasi Kwamba Wengi Tunahisi Kama Kuna Mchongo Pale Ndio Maana Hutaki Kuongelea Makosa Yake.....
Omog Ni Kocha Mzuri Lakini Kwa Falsafa Hii Ya Kuchezesha Wachezaji Ambao Hawajitoi Kwa Maslahi Ya Timu Hii Itatugharimu Sana...
Mwaka Huu Hatutaki Kurudia Makosa Na Tunataka Mafanikio Ktk Timu.

No comments:

Post a Comment