WAWILI SIMBA NA YANGA KUBAKI BENIN, MABILIONEA WAITEKA KAMBI YA STARS>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Monday, November 13, 2017

WAWILI SIMBA NA YANGA KUBAKI BENIN, MABILIONEA WAITEKA KAMBI YA STARS>>>>

Baada ya mechi kumalizika ya stars dhidi ya Benin matajili wa mji huo walionekana kuvutiwa sana na Beki wa Yanga Kelvin Yondani pamoja na mshambuliaji Shiza Kichuya kwa viwango vyao safi.

Tunatazamia huenda wakachukuliwa huko huko kufanya majalibio ya kukipiga ndani ya vilabu vya huko huko Benin

Tusubili tuone nini kitaendelea.

No comments:

Post a Comment