Klub ya simba imeonesha kuwa yenyewe ndio klub kubwa yenye pesa tanzania baada ya kuonyesha dalili za kumnasa Kiungo matata wa Yanga Kamusoko ambae bado anamkataba wa miaka miwili,
Simba huenda akaingia gharama kubwa kuvunja mkataba huo wa mchezaji huyu wa kimataifa kutokea nchini Zimbabwe.
No comments:
Post a Comment