Ungozi wa Yanga sc umekubali kumtoa mshambuliaji wao Matheo Antony kwa mkopo kwenda Kagera Sugar hii ni baada ya Cocha mkuu wa Kagera Sugar kuhitaji huduma ya mshambuliji huyo kwamkopo ili aka muimarishe zaidi
Nayo timu ya Mbao Fc ya jijini Mwanza imetuma barua ya maombi kwenye uongozi wa Yanga sc ikiwahitaji wachezaji wawili kwa mkopo wachezaji hao ni Yusuphu Mhilu na Maka Edward
Nayo timu ya Mbao Fc ya jijini Mwanza imetuma barua ya maombi kwenye uongozi wa Yanga sc ikiwahitaji wachezaji wawili kwa mkopo wachezaji hao ni Yusuphu Mhilu na Maka Edward
No comments:
Post a Comment