SIMBA SASA KIZA KINENE , MATAJIRI GOR MAHIYA YA KENYA WAKESHA MSIMBAZI KUWANG'OA HAWA >>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Tuesday, November 21, 2017

SIMBA SASA KIZA KINENE , MATAJIRI GOR MAHIYA YA KENYA WAKESHA MSIMBAZI KUWANG'OA HAWA >>>>

Klub ya simba huenda ikapitia wakati mgumu pale watakapo subutu Kumuuza mshambuliaji wake hatari Mavugo,

Mavugo ni mshambuliaji hatari ambae akitumika vizuri anaweza akaipatia timu yake mafanikio makubwa sana mno, Aidha klub ya simba imesema kuwa licha ya kuwa na mkataba nae akitokea wa kuweka dau wanaweza kufanya mazungumuzo.

GOR MAHIYA ni Klub inayoshiliki  ligi KUU nchini Kenya, Klub hii tayari imeonyesha nia ya kumchukua mshambuliaji huyo wa kutegemewa kutoka katika Klub ya Simba

`Ndugu msomaji wetu tutaendelea kukupatia update mbali mbali kadri habari zitakavokuwa zikitufikia

No comments:

Post a Comment