Huyu Ni Kocha Wa Lipuli Fc Kwa Sasa,Kijana Wetu Kabisa Selemani Matola,Ameichezea Simba Kwa Mafanikio Makubwa Sana Na Aliwahi Kuwa Kocha Msaidizi Pia Wa Timu Ya Simba Sports Club......
Lakini Kwa Sasa Tupo Ktk Mbio Za Kutaka Ubingwa Na Game Inayofuata Ndio Tunacheza Nao Pale Ktk Dimba La Chamanzi...
Mimi Binafsi Namuonea Huruma Sana Lakini Ndio Hakuna Jinsi,Unadhani Tumpige Ngapi Ndio Itapendeza Zaidi?
Sie Hatununui Game,Wacha Wao Wanunue Tu Wakati Bado Wana Madeni Ya Mishahara Ya Wachezaji.
Ukija Na Povu Tunakutia Displine.
#SimbaNguvuMoja
#UbingwaLazima2017/18

No comments:
Post a Comment