Wakati wenzetu simba wakijivunia kutoa wachezaji wengi nje sis tunajivunia kumtoa msuva kwenda moroco tena kulazimishwa na babake msuva baada ya kuona uongoz wa yanga ulitaka msuva azeeke clubuni ndipo baba yake msuva akachukua maamuz magumu bila hivo ungekuta msuva bado yupo yanga.
Simba bado ndio timu pekee inayoongoza kwa kupeleka wachezaji nje ya nchi.
Simba bado ndio timu pekee inayoongoza kwa kupeleka wachezaji nje ya nchi.
No comments:
Post a Comment