OKWI NAYE HUYOOO KUPAA KIMATAIFA, SIMBA PABAKI KWEUPE, YANGA FULL KICHEKO. SOMA HAPA - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Tuesday, November 7, 2017

OKWI NAYE HUYOOO KUPAA KIMATAIFA, SIMBA PABAKI KWEUPE, YANGA FULL KICHEKO. SOMA HAPA

Okwi ni mchezaji ambae amekuwa akijalibu bahati take ya kwenda kucheza soka la kulipwa ulaya lakini amekuwa akikosa nafasi ya kufanya vizuri kila akienda,

Baadhi ya mashabiki wamekuwa wakijiuliza kwanini amekuwa hafanyi vizuri anapokuwa ameitwa kufanya majaribio, ila ukweli ni kwamba Okwi ni mchezaji ambae amekuwa akijituma sana lakini kutokana na timu anayokuwa ameitwa kuwa na wachezaji wengi wenyeuwezo zaidi take ndio chanzao na sababu ya yeye kutokufanya vyema.

Ila iko siku atafanikiwa.

No comments:

Post a Comment