RECORD YA SIMBA NA MAGOLI YA KUOTEA, WAAMUZI KULIFUMBIA MACHO , MASHABIKI WABAKI NJIA PANDA, SOMA HABARI KAMILI>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Tuesday, November 7, 2017

RECORD YA SIMBA NA MAGOLI YA KUOTEA, WAAMUZI KULIFUMBIA MACHO , MASHABIKI WABAKI NJIA PANDA, SOMA HABARI KAMILI>>>>

Klub ya Simba ndio timu ambayo inakadiliwa kuwa na wachezaji wazuri na wanaotumia sana ajili wawapo uwanjani, Na ndio kikosi pekee chenye wachezaji ghari Tanzania.

Simba wanashutumiwa na mashabiki wa vilabu vingine kuwa wamekuwa wakibebwa kila mechi kitu ambacho imekuwa si kweli hata kidogo.

Sheria za mpira pengine huenda ndio umasikini wa MASHABIKI walio wengi ndio maana wanalalamika kila muda.

Baki nasi.

No comments:

Post a Comment