Shiza Kichuya ni mchezaji wa Moira miguu wa Tanzania, Kichuya alitajwa katika kikosi cha timu ya Taifa Tanzania katika kombe la COSAFA mwaka huu wa 2017 na alifanikiwa kufunga mabao mawili dhidi ya Malawi.
Ujio wa Kichuya uliongeza makali Simba
Shiza Kichuya ameanza vizuri maisha yake ndani ya kikosi cha Simba baada ya kufunga magoli 4 katika mechi 6 za awali Ligi Kuu Tanzania Bara
Tutakujuza zaidi kadri tutakavopata taarifa zake.

No comments:
Post a Comment