Kagera sukari kufanya usajili dilisha dogo kwa ajili ya kuziba pengo la Mbalaka Yusuph ambae msimu jana ametimkia Azam Fc. Kagera suger wanategemea kumnasa mshambuliaji kutoka simba ambae jina lake bado imekuwa siri, Endelea kuwa nasi ili tukusogezee habari zaidi. Read more
No comments:
Post a Comment