KICHUYA NA NDEMLA KUFUATA NYAYO ZA SAMATTA DILISHA DOGO, NA HAWA TENA KUTIMKIA SOKA LA KULIPWA ULAYA>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Tuesday, November 7, 2017

KICHUYA NA NDEMLA KUFUATA NYAYO ZA SAMATTA DILISHA DOGO, NA HAWA TENA KUTIMKIA SOKA LA KULIPWA ULAYA>>>>

Tetesi za usajiri zinasema kuwa Huenda Shiza Kichuya na Ndemla wakatimukia soka la kulipwa ulaya kufuta nyayo za samatta.

Ikumbukwe kuwa Samatta ni zao la simba ambaye alitoka hapo kwenda TP MAZEMBE ya nchini Congo baada ya hapo akatimkia ulaya ambako ndiko anakipigia.

Simba imekuwa ndio club ambayo inazalisha vipaji vya kucheza soka nje ya nchi.

Karibu Bukoba wadau.

No comments:

Post a Comment