Tanzania tumefanikiwa kuwa na timu mbili za Taifa ile ya under 23 na ile Stars yenyewe sasa baada Jana kumuona kijana wangu YAHAYA ZAYD_52 akiwa nahodha kwenye team ya taifa U_23 Leo natarajia kumuona HIMID MAO _23 akiwa nahodha wa team ya taifa stars.Wote wanatoka AZAM FC
Je azam ndio timu pekee yenye wachezaji kwenye nidham
Je azam ndio timu pekee yenye wachezaji kwenye nidham
No comments:
Post a Comment