Ibrahim Mo ni mchezaji mwenyewe uwezo mkubwa uwanjani lakini amekuwa hatumiki kabisa kwa kile kocha anachosema hana namba lakini mashabiki wamesema hivi
Simba sport club munataka kutuvuluga tena na kuja kumuacha hyu aende zake mutafanya makosa makubwa sana mukimuacha aende Jamaa namkuali sana Na Anakubalika sana Na Mashabiki wa Simba Kwa nn kocha Ampi Nafasi Na Anajua Kiukwel Eti Mashabiki Chokochoko Zishaaza Munaonaje hapa

No comments:
Post a Comment