Baada ya Simba kutua Kwa pipa pale Mbeya sasa waanza mawindo ya kuhakikisha wanaiua mbeya city Kwa kuiadhibu kipigo kisichozidi goli saba.
Aidha Okwi ndie huenda akacheza namba nane kipindi cha kwanza Kwa dk 15 ili kuwapa hofu wapinzani wao katika MICHEZO huo.
Hii ndio Simba.
No comments:
Post a Comment