KIKOSI CHA YANGA KILICHOIUA SIMBA JUMLA GOLI 6 MIAKA YA 1993 SASA CHAWEKWA WAZI NA MAJINA YAO>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Friday, November 3, 2017

KIKOSI CHA YANGA KILICHOIUA SIMBA JUMLA GOLI 6 MIAKA YA 1993 SASA CHAWEKWA WAZI NA MAJINA YAO>>>

Ikumbukwe kuwa mwaka wa 1993 ulikuwepo ushindani mkubwa ambao leo hii haupo kabisa.

Baadhi ya wachezaji ni kama MWAMBA KIZOTA,EDDIBILI LUNYAMILA,BONIFACE MKWASA MASTER, KENNETH MKAPA,ZAMOYONI MONGERA,GAGARINO,CHAMBUA,ISSA ATHUMAN NA ABUBAKARI SALUMU SURE BOY.

Kikosi hiki kiliiletea Yanga mafanikio makubwa sana kitu ambae kiliifanya timu hii kuchukua ubingwa wa Africa mashariki.

Hiyo ndio Yanga.

No comments:

Post a Comment