SIMBA WAWABADILISHIA GIA ANGANI WAPINZANI WAO MBEYA CITY, OKWI KUTOTUMIKA KATIKA MCHEZO WA LEO,MASHABIKI WAJAA MWAKALELI YOTE ..CLIK HAPA UJUE ZAIDI>>>> - KASULU WADAU BLOG

Breaking

ONLINE

Sunday, November 5, 2017

SIMBA WAWABADILISHIA GIA ANGANI WAPINZANI WAO MBEYA CITY, OKWI KUTOTUMIKA KATIKA MCHEZO WA LEO,MASHABIKI WAJAA MWAKALELI YOTE ..CLIK HAPA UJUE ZAIDI>>>>

Kuelekea mechi ya kukata na shoka dhidi ya mahasimu SIMBA na MBEYA CITY huenda Emmanuel Okwi asianze ili kumpa nafasi John Bocco kumaliza kazi ndani ya dk 30 za kwanza.

Hata hivi mwalim akiona inafaa kufanya ivo itapendeza sana ili Okwi akiingia kipindi cha pili apeleke msiba mzito pale mbeya . lakini pia haijajulikana kama beki tegemeo la simba SHABALALA JR kama atacheza katika mechi ya leo.

Kwa habari zingine nyingi usikae mbali na blog yako pendwa.

No comments:

Post a Comment